xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.date.accessioned | 2018-06-13T08:09:48Z | |
dc.date.available | 2018-06-13T08:09:48Z | |
dc.date.issued | 2015 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/handle/123/152 | |
dc.description.abstract | Samaki wamekuwa ni chanzo kizuri na kikubwa cha protein Duniani. Ulaji wa samaki umeongezeka maradufu tokea Mwaka 1973; asilimia 90 (90%) la ongezeko hilo likiwa kwa nchi zinazoendelea (Developing Countries). Tani milioni 45.4 za samaki zililiwa Duniani Mwaka 1973: India-tani milioni 1.8, Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara-tani milioni 2.6; China-tani milioni 4.9 na Japan-tani milioni 7.6. Benki ya Dunia (WB) inakadiria kwamba ifikapo Mwaka 2030, asilimia 70 (70%) ya mahitaji (matumizi/ulaji) ya samaki yatatokea kwenye Bara la Asia. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Wizara ya Kilimo uvuvi na ushirika | en_US |
dc.relation.ispartofseries | Document;No. 9 | |
dc.subject | Uvuvi | en_US |
dc.subject | Samaki | en_US |
dc.subject | Baharini | en_US |
dc.subject | Maziwa | en_US |
dc.title | Tanzania iyajo uvuvi wa kisasa unaotumia sayansi, teknolojia na ubunifu | en_US |
dc.type | Article | en_US |