Ghala la Mkulima

Mpango wa matumizi bora ya ardhi ya vijiji: Mbinu ya mapinduzi ya kijani wilayani Mbarali, Mbeya

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2018-06-13T08:21:51Z
dc.date.available 2018-06-13T08:21:51Z
dc.date.issued 2014-10
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/164
dc.description.abstract Nchini Tanzania, mpango wa matumizi bora ya ardhi vijijini ulirasimishwa miaka ya hivi karibuni ikiwa ni moja ya mikakati katika mchakato wa kuleta maendeleo endelevu vijijini. Utekelezaji wa mpango huu hauna budi kuwa mikononi mwa wanavijiji wenyewe kwa kiasi kikubwa katika kugawa ardhi yao kwa matumizi mbalimbali ya kujikimu kimaisha kwa sasa na siku za baadaye na kuwa na uhifadhi endelevu wa mazingira. Maendeleo endelevu katika Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya yanaathiriwa na migogoro ya matumizi ya rasilimali ardhi na maji kwa muda mrefu sasa. Hii imetokana na uwezo wa ardhi kupungua kutoa mavuno ya kutosha na uhaba wa maji kwa matumizi mbalimbali hususan umwagiliaji, unyweshaji mifugo, uendelevu wa miminiko la maji kwenye bwawa la umeme, uhifadhi ya bionuai na mazingira. Mpango wa matumizi bora ya ardhi vijijini unasaidia kusimamia na utatuzi wa migogoro ya matumizi ya ardhi, maji na hifadhi ya mazingira. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher EcoAgriculture en_US
dc.subject Kilimo Salama en_US
dc.subject Kilimo Mazingira en_US
dc.subject Hifadhi ya mazingira en_US
dc.subject Ardhi en_US
dc.title Mpango wa matumizi bora ya ardhi ya vijiji: Mbinu ya mapinduzi ya kijani wilayani Mbarali, Mbeya en_US
dc.type Other en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu