xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.date.accessioned | 2018-06-18T07:50:36Z | |
dc.date.available | 2018-06-18T07:50:36Z | |
dc.date.issued | 2012 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/handle/123/186 | |
dc.description.abstract | Hifadhi ya Asili ya Amani ilitangazwa kisheria na Serikali ya Tanzania katika gazeti la serikali mwaka 1997, ikiwa na lengo la kuihifadhi bayoanuwai ya Milima ya Usamabara Mashariki. Safu ya Mashariki ya Milima ya Usambara imeorodheshwa kama kituo cha kimataifa cha bayoanuwai ya mimea na inajivunia kuwa ya pili kwa kuwa na aina nyingi za mimea katika bara la Afrika. Pia ilitangazwa na UNESCO kuwa Hifadhi ya Binadamu na Viumbe hai, mwaka 2000. Hifadhi hii ya viumbe hai yenye eneo la takribani hekta 83,600 inajumuisha misitu ya mvua na ardhi ya nyasi na miti ya uwanda wa chini. Ina sifa ya kuwa na mimea mingi iliyo katika hatari ya kutoweka (ikiwemo mimea mingi ya madawa) na ni makazi ya zaidi ya aina kumi na tatu za ndege wasiopatikana mahali pengine. Pia misitu hii mikuu hutoa maji kwa wakazi zaidi ya 300,000 katika mji wa Tanga, na wenyeji wa milimani wanategemea misitu hii kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kimaisha. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Equator Initiative: Environment and Energy Group - United Nations Development Programme - UNDP | en_US |
dc.relation.ispartofseries | Equator Initiative; | |
dc.subject | Misitu | en_US |
dc.subject | Amani | en_US |
dc.subject | Hifadhi | en_US |
dc.subject | Mazingira | en_US |
dc.subject | Tanga | en_US |
dc.title | Hifadhi ya Asili ya Amani Tanzania: Miradi ya Equator Wanavijiji na Maendeleo Himili ya Jamii | en_US |
dc.type | Book | en_US |