Ghala la Mkulima

Maazimio ya wananchi kwa Vyama vya siasa kuhusu uhifadhi wa misitu na mazingira: Uchaguzi wa 2015

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2018-06-22T07:50:50Z
dc.date.available 2018-06-22T07:50:50Z
dc.date.issued 2015-06
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/194
dc.description.abstract Misitu ni rasilimali muhimu sana ambayo nchi yetu imejaliwa. Inakadiriwa Tanzania ina misitu yenye ukubwa wa hekta milioni 48.1 ambayo ni sawa na asilimia 38 ya eneo lote la ardhi ya nchi yetu. Misitu hii hata hivyo inakabiliwa na upoteaji wa kiwango cha eneo la hekta 400,000 kwa mwaka, na hii inasababishwa na kilimo cha kuhama hama, mifugo, moto na uvunaji holela na usio endelevu wa mazao ya misitu na shughuli zingine za kibinadamu. Kutokana na changamoto zinazoikabili misitu na jamii inayoishi pembezoni mwa misitu, jamii imeamua kuandaa majumuisho ya changamoto hizo na mapendekezo ya namna ya utatuzi wake. Lengo ni kutumia fursa ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 katika utatuzi wa changamoto za misitu na jamii ili misitu yetu iendelee kutoa huduma ya kiikolojia, kiuchumi na kijamii kwa muda mrefu. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Mtandao wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu Tanzania - MJUMITA na Shirika la Kuhifadhi Misitu ya Asili Tanzania - TFCG en_US
dc.subject Misitu en_US
dc.subject Hifadhi en_US
dc.subject Mazingira en_US
dc.subject Tanzania en_US
dc.subject Uchaguzi Mkuu en_US
dc.title Maazimio ya wananchi kwa Vyama vya siasa kuhusu uhifadhi wa misitu na mazingira: Uchaguzi wa 2015 en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu