Uzalishaji Mazao: Recent submissions

  • Munis, Ndeshi S.M. (Trellis Fund USAID, Horticultural Innovation Lab., 2019-06)
    Mboga za majani ni sehemu muhimu katika mlo wa mwanadamu.Mbogahizihutoa virutubisho muhimu kama vile protini,vitamini na madini ambavyo ni muhimukatika mwili wa mwanadamu kwa afya bora.Ulaji wa mbogamboga katika nchi ...
  • Mwandishi Hajulikani (TORITA, 2004)
    Tumbaku ni moja ya zao kuu la biashara nchini. Tumbaku huipa nchi pato la kigeni kwa kuuzwa sana nchi za nje. Takwimu zinaonyesha kuwa mauzo nje ya nchi yameongezekwa kwa asilimia 50% kwa mwaka ulioishia 2013 kwa sababu ...
  • Kilimo bora blog, kilimo blog (kilimo blog, 2017-09-23)
    Njugu ni mbegu za mmea wa njugu. Mmea huo unapoendelea kusitawi huwa unachanua maua ya manjano ambayo hujichavusha yenyewe. Kilimo hiki kina faida hasa pale mkulima anapoamua kujiwekeza katika kulima kilimo hiki.
  • KILIMO HAI TANZANIA (Kilimo hai Tanzania, 2018-04-19)
    Soya ni zao jamii ya mikunde ambayo ina baadhi ya sifa za mbegu zinazozalisha mafuta. Zao la soya lina protini nyingi yenye ubora wa hali ya juu kuliko iliyoko katika aina nyingine ya mazao ya mimea.
  • Kilimo na Tanzania, Kilimo (Kilimo Tanzania, 2016-03-07)
    KWALE ni jamii ya ndege ambao kwa sasa wanafugwa majumbani na wanaotaga mayai kama kuku ama bata na kwa wingi sana. Ndege hawa ni wadogo 280gm - 300gm, Wanarangi ya brown, nyeusi au hata nyeupe yenye miraba na madoa ya ...
  • KILIMO BLOG (20-03-13)
    Mtama ni kundi la mbegu punje ndogo katika jamii ya nafaka ambayo ina kiasi kikubwa cha kabohaidreti.Ni zao lenye uwezo mkubwa wa kuvumilia hali ya ukame kuliko mazao mengi ya jamii yake,Hivyo hulimwa maeneo mengi Duniani ...
  • Jatu Company Limited (JATU PLC, 2020-07-09)
    Parachichi ni zao linalooteshwa katika ukanda wa baridi na katika ardhi yenye rotuba na maji ya kutosha. Njombe, Iringa, Mbeya, Morogoro, Tanga na Kilimanjaro ni baadhi tu ya mikoa inayolima Parachichi kwa wingi hapa Tanzania.
  • Mwandishi Hajulikani (Mjasiriamali hodari, 2018-12-27)
    Alizeti (Sunflower) ni zao linalolimwa kwa wingi nchini Tanzania, Afrika mashariki, Afrika na Duniani kote kwa ujumla. Alizetini zao la biashara na hutumika kutengenezea mafuta ya kupikia (Cooking Oil). Wakulima walio wengi ...
  • Mjasiriamali hodari (Mjasiriamali Blog, 2018-12-27)
    Alizeti (Sunflower) ni zao linalolimwa kwa wingi nchini Tanzania, Afrika mashariki, Afrika na Duniani kote kwa ujumla. Alizetini zao la biashara na hutumika kutengenezea mafuta ya kupikia (Cooking Oil). Wakulima walio wengi ...
  • Mwandishi Hajulikani (Sustainable Agriculture Tanzania - (SAT), 2020-11)
    Jarida hili la Mkulima Mbunifu linalenga zaidi kutoa elimu sahihi kwa mkulima juu ya shughuli zao mbalimbali katika toleo hili kuna makala juu ya: Utengenezaji wa kiuatilifu cha asili; Fahamu vitamini na madini ya kujenga ...
  • Mwandishi Hajulikani (Sustainable Agriculture Tanzania - (SAT), 2020-12)
    Jarida hili la Mkulima Mbunifu linalenga zaidi kutoa elimu sahihi kwa mkulima juu ya shughuli zao mbalimbali katika toleo hili kuna makala juu ya: Fahamu kuhusu ungonjwa wa Mastitis; Jifunze namna ya kufanya ufugaji wa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Africa Soil Health Consortium, 2019)
    Vikongomwa ni wadudu hatari sana wa migomba duniani kote. Idadi ya vikongomwa inaweza kupunguzwa kwa kutumia vipanzi safi, kuharibu mabaki ya mimea na kutumia mwarobaini; Hata hivyo, kuhamia kwa vikongomwa kutoka kwa ...
  • Boa, E (Africa Soil Health Consortium, 2014)
    Ugonjwa wa Banana Xanthomonas wilt (BXW) umepewa jina lake kutoka kwa bakteria wanaoambukiza na hatimaye kuua mgomba. Ugonjwa huo umeongezeka sana Uganda tangu ulipopatikana kwa mara ya kwanza mwaka wa 2001 na sasa umeenea ...
  • Mwandishi Hajulikani (Halmashauri ya Manispaa ya Musoma, Idara ya kilimo, Umwagiliaji na ushirika,, 2018)
    Nchini Tanzania zao la nyanya hulimwa karibu katika mikoa yote hasa ya Arusha, Kilimanjaro, Morogoro, Iringa, Mwanza, Dodoma, Tanga, Pwani na Mbeya. Nyanya ni zao la chakula na biashara. Kilimo cha zao hili hufanyika ...
  • Mihyo, P. B (REPOA, 2019-05)
    Kitabu hiki kina sura saba ambazo zinaangalia sera mabali mbali kuhusu maendeleo vijijini na mchango wake kwenye kupunguza umaskini Tanzania. Kinaanza na sera zilizotungwa na kuetekelezwa kipindi cha Ujamaa na Kujijetegemea. ...
  • Laswai, H. S; Kulwa, K. B. M; Ballegu, W. R .W; Silayo, V. C. K; Ishengoma, C. G; Makindara, J. A; Mpagalile, J. J; Rweyemamu, C. L (FOCAL - SUA, 2005-06)
    Katika nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania, tatizo la utapiamlo limekuwa tatizo sugu. Kiwango cha wanaosumbuliwa na tatizo hili katika nchi yetu kama asilimia thelatini ya watu wote. Jambo hili si la kufumbia macho kwa ...
  • Enemoto, R (Rainforest Alliance - Rwanda, 2011)
    Kahawa ni mojawapo ya mazao muhimu katika [Mashariki na Kusini mwa] Afrika, na pia ni chanzo cha kipato kwa wakulima wengi wadogo. Pamoja na hayo, iwapo shughuli zisizo endelevu zikiachwa ziendelee, zitachafua mazingira, ...
  • Mwandishi Hajulikani (Sustainable Agriculture Tanzania (SAT), 2016)
    Jarida la kilimo endelevu Afrika Mashariki toleo hili lina makala zifuatazo: - Unaweza kuongeza thamani na pato kwa usindikaji wa mihogo; - Vitamini na madini ni muhimu kwa afya ya kuku; - Sindika mbegu za Rosella kupata ...
  • Mwandishi Hajulikani (Sustainable Agriculture Tanzania (SAT), 2015)
    Jarida la kilimo endelevu Afrika Mashariki, katika toleo hili kuna makala zifuatazo: - Magonjwa hudidimiza pato la mkulima; - Asilimia 30 wanakula sumu ya kuvu; - Mbolea ya asili inayotokana na magugu maji; - Ugonjwa wa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kituo cha Utafiti wa Mazao Mikocheni - MARI, 2018)
    Minjingu ni mbolea asilia ya kupandia. Mbolea hii inatokana na miamba inayochimbwa katika eneo la Minjingu mkoani Manyara ambayo husagwa na kufungashwa kwenye kiwanda kilichojengwa katika eneo hilo. Mbolea ya Minjingu ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account