Ghala la Mkulima

Maswali mbalimbali yanayoulizwa na wafugaji wa nyuki vijijini

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Msalilwa, J
dc.date.accessioned 2018-07-02T07:26:35Z
dc.date.available 2018-07-02T07:26:35Z
dc.date.issued 2013
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/225
dc.description.abstract NYUKI NI NINI? Nyuki ni wadudu wadogo wenye uwezo wa kuruka na hutengeneza vyakula vyao wenyewe kutokana na maji matamu yanayopatikana kwenye maua ya miti na ungaunga unaopatikana katika maua. Wadudu hawa wanauwezo wa kuziba matundu yanayojitokeza kwenye viota vyao kwa kutumia utomvu wa miti. Wadudu hawa ni wasafi sana hawapendi kuishi mahali palipo na harufu ya uozo wa kitu, ukungu, au maji maji (unyevu nyevu). en_US
dc.description.sponsorship Waterloo Foundation, United Kingdom en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Idara ya Biolojia ya Misitu, Sokoine University of Agriculture - SUA en_US
dc.subject Nyuki en_US
dc.subject Asali en_US
dc.subject Nta en_US
dc.title Maswali mbalimbali yanayoulizwa na wafugaji wa nyuki vijijini en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu