xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.date.accessioned | 2018-07-02T07:27:43Z | |
dc.date.available | 2018-07-02T07:27:43Z | |
dc.date.issued | 2016 | |
dc.identifier.isbn | 978-92-95105-24-9 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/handle/123/230 | |
dc.description.abstract | Mifugo ni sehemu muhimu katika uchumi wa vijijini nchini Tanzania. Mifugo si kwamba hutoa nyama na maziwa, lakini pia hutoa ngozi, nguvu kazi na mbolea. Mifugo inatoa mchango muhimu katika bidhaa zinazouzwa nje na Pato Ghafi la Taifa la Tanzania. Mifugo inashika nafasi ya pili ndani ya sekta ya kilimo katika kuchangia Pato Ghafi la Taifa (hii ni karibia asilimia 13 ya Pato Ghafi la Kilimo la Taifa). Hiki ni kiwango kidogo licha ya kuwa na idadi kubwa ya mifugo. Hii inasemekana ni kutokana na kuwepo kwa magonjwa, ambayo yamekuwa kikwazo kwa usafirishaji wa wanyama nje ya nchi. Sekta hii pia inakabiliwa na matatizo ya kutoendana na mahitaji ya soko jipya kama vile Mfumo wa Ubainishaji na Ufuatiliaji wa Mifugo na ustawi wa wanyama. Zaidi ya hayo, upelekaji wa mifugo kati ya masoko madogo na makubwa unaongeza utegemezi wa usafirishaji kwa njia ya reli au barabara ukichangia thamani kubwa ya ardhi kwa ajili ya nyama au mifugo kama ukilinganisha na ilivyo Mashariki ya Kati, hivyo kuifanya kuwa na ushindani mdogo | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Tanzania | en_US |
dc.subject | Ardhi | en_US |
dc.subject | Ramani | en_US |
dc.subject | Malisho ya mifugo | en_US |
dc.subject | Malisho | en_US |
dc.title | Uchoraji Shirikishi wa Ramani ya Rasilimali za Nyanda za Malisho nchini Tanzania: Mwongozo wa Uwandani wa kusaidia Kupanga Mpango na Usimamizi wa Nyanda za Malisho ikiwemo Kupanga Mpango wa Matumizi Bora ya Ardhi ya Kijiji | en_US |
dc.type | Book | en_US |