Ghala la Mkulima

Udongo na umuhimu wa kupima udongo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Mussa, D
dc.date.accessioned 2018-09-27T07:08:56Z
dc.date.available 2018-09-27T07:08:56Z
dc.date.issued 2018-07
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/300
dc.description.abstract Leo tunakwenda kujifunza kuhusu Udongo, aina za udongo, virutubisho vilivyopo kwenye udongo pamoja na upimaji wa udongo. Udongo ni nini? Udongo ni tabaka juu ya ardhi ambalo hufanya kazi kama chombo cha kukuzia mimea. Udongo hujengwa kutokana na shughuli zinazoendelea za hali ya hewa kulingana na vipengele kadhaa vya mazingira. Kwa sehemu kubwa kuundwa kwa udongo hutawaliwa na vipengele vikuu vitano: hali ya nchi (k.m. mvua, joto na upepo), mwinuko wa eneo (mahali eneo lilipo), viumbe hai (mimea na vijidudu), asili ya kitu kilichozalisha udongo (aina ya miamba na madini ambayo udongo unatokananayo) na muda. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Kilimo Tanzania Blog en_US
dc.subject Udongo en_US
dc.subject Ardhi en_US
dc.subject Mazingira en_US
dc.subject Mbolea en_US
dc.title Udongo na umuhimu wa kupima udongo en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu