Ghala la Mkulima

Nakala juu ya rutuba ya udongo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2018-10-12T11:06:56Z
dc.date.available 2018-10-12T11:06:56Z
dc.date.issued 2016
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/343
dc.description.abstract Rutuba ya ugongoimefafanuliawa kama “uwezo wa udongo kusambaza idadi ya kutosha ya virutubisho muhimu na maji yanayohitajika kwa ajili ya ukuaji wa mimea maalum ikiongozwa na vigezo vya kemikali, maumbile, kibaiologia kwenye udongo.” Kilimo ni chanzo kikuu cha chakula na kipato kwa idadi kubwa ya wakazi wa nchi zilizopo kusini mwa jangwa la Sahara. Udongo ambao hauna rutuba nzuri ni kikwazo kikuu cha kuongeza uzalishaji wa chakula, lishe na vyakula vya nyuzi nyuzi. Kuna uhaba wa matumizi ya pembejeo za kilimo kusini mwa jangwa la Sahara. Ongezeko wa watu unasababisha kupungua kwa ukubwa wa ardhi, na kwa kuwa kuna upungufu wa ardhi yenye rutuba kuna umuhimu wa kufuata taratibu za sayansi ya udongo na uzalishaji mazao. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Farm Radio International - FRI en_US
dc.subject Udongo en_US
dc.subject Ardhi en_US
dc.subject Rutuba en_US
dc.title Nakala juu ya rutuba ya udongo en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu