xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.date.accessioned | 2018-10-18T08:55:02Z | |
dc.date.available | 2018-10-18T08:55:02Z | |
dc.date.issued | 2017-03 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/handle/123/370 | |
dc.description.abstract | Mihogo asili yake ni tropiki ya Amerika ya Kusini. Ililetwa katika bonde la Congo katikati mwa miaka ya 1500, na Afrika Mashariki miaka ya 1700. Asilimia 93 ya mihogo inayozalishwa hutumika kama chakula, hii kulifanya zao la muhogo kuwa muhimu kwa ajili ya usalama wa chakula vijijini. Zaidi ya watu milioni 500 kusini mwa jangwa la Sahara hutegemea mihogo kama chakula kikuu. Tanzania ni nchi ya nne inayozalisha mihogo kwa wingi Afrika. Inazalisha takribani tani milioni saba kwa mwaka katika maeneo mengi nchini. Asiliia 84 ya mihogo hii hutumika kama chakula cha binadamu. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Farm Radio International - FRI | en_US |
dc.subject | Usindikaji | en_US |
dc.subject | Muhogo | en_US |
dc.title | Taarifa za awali: Usindikaji wa muhogo | en_US |
dc.type | Article | en_US |