Ghala la Mkulima

Nguvu kazi, mitizamo juu ya hali ya hewa na udongo kwenye maeneo ya umwagiliaji yaliyopo Siipow nchini Kenya na Engaruka nchini Tanzania

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Caretta, Martina A.
dc.contributor.author Westerberg, Lars-Ove
dc.contributor.author Borjeson, Lowe
dc.contributor.author Ostberg, Wilhem
dc.date.accessioned 2019-02-18T07:23:57Z
dc.date.available 2019-02-18T07:23:57Z
dc.date.issued 2015
dc.identifier.isbn 978-91-87355-17-2
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/430
dc.description.abstract Kijitabu hiki kinatoa matokeo ya mradi wa miaka 4 (2011-2015) yaliyofanywa na wanajiografia wanne kutoka chuo kikuu cha Stockholm. Utafiti huu ulifanyika katika vijiji vidogo viwili, ambavyo ni Siipow nchini Kenya na Engaruka nchiniTanzania. Kwa ujumla mradi huu  uliangalia vitu vikuu vitatu: udongo, hali ya hewa na nguvu kazi. Mambo haya makuu yanaweza kuonyesha aina ya mabadiliko yaliyowahi kujitokeza katika mifumo ya umwagiliaji katika maeneo haya na sababu mahususi zilizosababisha mabadiliko hayo. Katika kijitabu hiki matokeo ya utafiti yameonyeshwa kufuatana na maeneo ya utafiti na hususani: mbinu za kilimo,  mgawanyo wa majukumu ya kazi kwa wanawake na wanaume, sifa za udongo na maji, mabadiliko ya hali ya hewa na namna ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa, na jinsi ambavyo mambo haya yote  kwa ujumla yamekuwa yakibadilika kadri muda unavyokwenda. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Department of Human Geography - University of Stockholm en_US
dc.subject Hali ya hewa en_US
dc.subject Mazingira en_US
dc.subject Udongo en_US
dc.subject Nguvu kazi en_US
dc.subject Kilimo en_US
dc.subject Maji en_US
dc.title Nguvu kazi, mitizamo juu ya hali ya hewa na udongo kwenye maeneo ya umwagiliaji yaliyopo Siipow nchini Kenya na Engaruka nchini Tanzania en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu