xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | Chuo kikuu cha Sokine cha kilimo | |
dc.date.accessioned | 2023-02-16T09:50:16Z | |
dc.date.available | 2023-02-16T09:50:16Z | |
dc.date.issued | 2022-11 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/658 | |
dc.description.abstract | Zao la karoti asili yake ni Asia ya Kati. Zao hili lilienea nchi za Ulaya kwa kupitia Bahari ya Mediterranean. Baadaye lilipelekwa Amerika Kusini na Kaskazini, kisha Afrika. Karoti hutumika kama kiungo cha mboga katika vyakula mbalimbali. Huweza kutafunwa mbichi au kutengenzwa kachumbari. Karoti ina vitamin A ambayo husaidia macho kuona vizuri. Mbegu za karoti hutoa mafuta ambayo hutumika kuongeza harufu nzuri kwenye chakula. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo | en_US |
dc.subject | Karoti | en_US |
dc.subject | Shamba | en_US |
dc.title | Kilimo cha Karoti | en_US |
dc.type | Article | en_US |