xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | Kato, Fred | |
dc.date.accessioned | 2023-02-23T07:11:29Z | |
dc.date.available | 2023-02-23T07:11:29Z | |
dc.date.issued | 2021 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/660 | |
dc.description.abstract | Maharage ni za ambalo huzalishwa katika nchi za Afrika Mashariki na uzalishaji huo hukumbana na changamoto mbalimbali. Mojawapo ya changamoto hizo ni pamoja na wadudu, magonjwa na ukame. Teknolojia mpya za uzalishaji zimetafitiwa na kituo cha utafiti Uyole kwa ushirikiano na Taasisi za kimataifa (CGIAR) lakini usambazaji wake ni kwa kiasi kidogo kuweza kupokelewa na wakulima wengi na kuwaletea faida. Kulisha maharage bila kanuni za kilimo bora cha maharage Jndilo jambo kuu kufanya wakulima wazalishe kidogo. Kutokana na kudhihirika kwa hasara inayopatikana kuanzaia hatua ya mwanzo shambani wataalamu wameweza kutafiti na kupata Kiatilifu aina kama APRON star ambayo ikitumika kuwekwa kwenye mbegu kutawaeza kuzuia wadudu wasifanye uharibifu wa wadudu na magonjwa ya ukungu katika hatua ya mwazo shambani. Lengo kuuu la kijitabu hiki ni kuelezea kanuni/hatua muhimu za kufuata katika uzalishaji wa maharage, maelezo mbalimbali ya ugonjwa wa mizizi na uharibifu kutokana na wadudu | en_US |
dc.description.sponsorship | (CIAT-Uganda), (ARI-Uyole),FIPS-Africa, (CGIAR) | en_US |
dc.publisher | ARI–Uyole, | en_US |
dc.subject | Maharage | en_US |
dc.subject | nyanda za juuu kusini | en_US |
dc.subject | wakulima wadogo | en_US |
dc.subject | Tanzania | en_US |
dc.title | Kilimo bora cha Maharage | en_US |
dc.title.alternative | Kijitabu cha kufundishia wakulima wadogo wa Maharage wa nyanda za juuu kusini mwa Tanzania | en_US |
dc.type | Article | en_US |