xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | Malema, Beatus A | |
dc.date.accessioned | 2023-02-27T07:08:59Z | |
dc.date.available | 2023-02-27T07:08:59Z | |
dc.date.issued | 2016-08 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/666 | |
dc.description.abstract | Soya (Glycine max) ni zao la jamii ya mikunde. Zao hilo asili yakeGlycine max) ni zao la jamii ya mikunde. Zao hilo asili yakeGlycine max ni nchi ya China ambako lilianza kulimwa takribani miaka 4800 iliyopita. Zao la soya liliingizwa nchini Tanzania mwaka wa 1907 katika maeneo ya Amani mkoani Tanga. Kati ya miaka ya 1930 na 1960, kilimo cha soya kilipanuka na kuenea hadi maeneo ya Nachingwea mkoa wa Mtwara, Kilosa mkoa wa Morogoro na Peramiho mkoa wa Ruvuma. Kuenea kwa zao hilo katika maeneo hayo kulitokana na msukumo wa mashirika ya Overseas Food Co-operation – (OFC), State Trading Cooperation (STC), General Agricultural Production for Export – (GAPEX) naAgricultural Production for Export – (GAPEX) naAgricultural Production for Export National Milling Corporation – (NMC). Mashirika hayo yalisafirisha soya kwenda katika nchi za Japan na Singapore. Kwa kuwa uzalishaji wa zao hilo katika mikoa hiyo ulilenga soko la nje, wananchi hawakufundishwa matumizi yake na kwa sababu hiyo baada ya mashirika hayo kuacha biashara ya zao hilo kilimo cha soya kilififia hadi mwishoni mwa miaka ya 1980 na mwanzoni mwa miaka ya 1990 ambapo uzalishaji ulianza tena baada ya jamii kuhamasika katika matumizi ya soya hasa katika kutengeneza vyakula vya watoto | en_US |
dc.description.sponsorship | Overseas Food Co-operation – (OFC), State Trading Cooperation (STC), General Agricultural Production for Export – (GAPEX) | en_US |
dc.publisher | Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika | en_US |
dc.subject | Soya | en_US |
dc.subject | Jamii ya mikunde | en_US |
dc.subject | Glycine max | en_US |
dc.title | Kilimo bora cha zao la soya | en_US |
dc.title.alternative | :Sehemu ya Uendelezaji wa Mazao | en_US |
dc.type | Article | en_US |