xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.date.accessioned | 2023-03-01T09:22:44Z | |
dc.date.available | 2023-03-01T09:22:44Z | |
dc.date.issued | 2017-10-02 | |
dc.identifier.citation | https://tanzanianakilimo.blogspot.com/2017/10/kilimo-bora-cha-apple.html | en_US |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/684 | |
dc.description | Kilimo Bora cha Apple/ Tufaa | en_US |
dc.description.abstract | Apple ni moja kati ya matunda yanoyo pendwa sana, na wengine wamefikia mbali hadi kulifanya apple kua tunda la ishara ya upendo, pia kuna aina mbili za matunda ya apple yaani yanoyo liwa bila kupikwa na yale ambayo ni lazima yapikwe ili uweze kuyala. Matunda ya apple hayafanyi vizuri katika maeneo ya joto, huitaji hali ya hewa iliyo tulia na isio kua na joto kali, kutokana na mahitaji haya apple hukua vizuri Tanzania kwenye maeno ya umbali wa 2000- 3000 miters kutoka usawa wa bahari. mfano Mbeya, Arusha na Iringa. | en_US |
dc.description.sponsorship | Tanzania na Kilimo | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Tanzania na kilimo | en_US |
dc.subject | KILIMO BORA CHA APPLE | en_US |
dc.title | Kilimo bora cha apple | en_US |
dc.title.alternative | Tufaa | en_US |
dc.type | Article | en_US |