Ghala la Mkulima

Uchakataji Ngozi Kwa Kuzingatia Utunzaji wa Mazingira

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Kok, Jaap
dc.date.accessioned 2023-11-30T08:23:57Z
dc.date.available 2023-11-30T08:23:57Z
dc.date.issued 2012-06-22
dc.identifier.citation https://pdf.usaid.gov en_US
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/772
dc.description.abstract Kitabu hiki kimejikita katika mafunzo ya Uchakatajina mtunzikukitwaana kukisambaza kwa kikundi cha watu waliojihusisha katika mpango wa maendeleo ya kijiji huko Msekhocika, Zambia. Kitabu hiki kimelenga watu wenye nia ya kuanzisha uchakatajimdogo wa ngozi. Pia kwawale wanaopata ugumuwa kuanza kwa kutumia ujuzi walioupata kwa kusoma vitabu vingine vya nadharia. Vitabu ambavyo huenda vinaelezea mbinu za juu zaidi za Uchakataji, Mbinu ambazo zinatumika katika viwanda vikubwakama vile mashine, bidhaa za kemikali na uwekezaji mkubwa.Kitabu hiki kimekusudiwa kuwa mwongozo kwa vitendo, kwa wale wanaotakakuchakata ngozi kwa idadi ndogo kuanzia ngozi tanohadi kumi za mbuzi ambazo huweza kupatikana katika machinjio kila wiki.Piakimezingatia upatikanaji wa vifaa, zana na uwekezaji mdogo katika vijiji na maeneo ya jirani. Katika kitabu hiki neno Vitendo litakuwa la muhimu sana kuliko neno la kisayansi. Hata hivyo kitabu kitatoa maelezo ya awalikuhusiana nahatua zinazohusika katika mchakato wa kubadilisha ngozi na kuwa ngozi iliyochakatwa. (Ngozi iliyotayari kutengenezea bidhaa). en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Sokoine university of agriculture en_US
dc.subject Ngozi en_US
dc.subject Uchakataji en_US
dc.subject Utunzaji wa Mazingira en_US
dc.title Uchakataji Ngozi Kwa Kuzingatia Utunzaji wa Mazingira en_US
dc.title.alternative Mafunzo Yanayohusu Mbinu na Usimamizi wa Uchakataji Mdogo en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu