Ghala la Mkulima

Fahamu Umuhimu Wa Ndege Kama Kiashiria Cha Hali Ya Mifumo Ya Ikologia Katika Maeneo Mbali Mbali

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Mrosso, Hillary Thomas
dc.date.accessioned 2023-11-30T09:33:09Z
dc.date.available 2023-11-30T09:33:09Z
dc.date.issued 2021-07-08
dc.identifier.citation https://wildlifetanzania.home en_US
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/773
dc.description.abstract Kiashiria ni alama ambayo inatoa taarifa au tahadhari juu jambo fulani zuri au baya na kukufanya uweze kuchukua hatua mapema. Katika uhifadhi au sayansi ya wanyamapori kiashiria ni biolojia ya viumbe ambayo hutumia kuwepo au kutokuwepo kwao katika ikolojia au mazingira Fulani kama kipimo cha afya, ubora au mabadiliko. Wanyama jamii ya amphibia na reptilia wanaweza kutumika kupima mabadiliko ya hali ya hewa kama , ukame, uchafuzi wa mazingira na kuharibika au kusitawi kwa ikolojia, nk. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Sokoine university of agriculture en_US
dc.subject Ikologia en_US
dc.subject Ndege en_US
dc.subject Hali Ya Mifumo en_US
dc.subject Kiashiria en_US
dc.title Fahamu Umuhimu Wa Ndege Kama Kiashiria Cha Hali Ya Mifumo Ya Ikologia Katika Maeneo Mbali Mbali en_US
dc.type Learning Object en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu