Ghala la Mkulima

Ufugaji nyuki kibiashara

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Chuo Kikuu Mzumbe, Skuli ya Biashara
dc.date.accessioned 2024-02-23T11:36:54Z
dc.date.available 2024-02-23T11:36:54Z
dc.date.issued 2018
dc.identifier.isbn 978–9987–9916–1–7
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/830
dc.description Jarida en_US
dc.description.abstract Kitabu hiki ni zao la uzoefu, kujifunza na utafiti wa miaka mitano katika sekta ya nyuki. Baada ya kufanya kazi na wajasiriamali katika sekta ya misitu na nyuki, fursa katika ufugaji-nyuki zilikuwa ni wazi. Hata hivyo, uwezo wa wajasiriamali kuwekeza katika sekta hii umekuwa na changamoto lukuki. Nchini Tanzania, uwindaji, ukusanyaji wa mazao ya nyuki na ufugaji nyuki umekuwepo toka enzi. Hata hivyo sekta hii imeendelea kuwa isiyo na manufaa kwa mfugaji. Wafugaji wa nyuki hufanya shughuli hii kwa mazoea, pasipo kuzingatia mbinu na utaalamu wa kisasa; Wanategemea zana, utaalamu na uzoefu wa asili. Hivyo, uzalishaji umekuwa mdogo, usiokuwa na tija. Pia, mazao ya nyuki hayana ubora stahili, na hivyo yasiyoleta tija kwa mfugaji. Hali hii hupelekea kushindwa kupata soko lenye tija. Hata hivyo, ikiwa ufugaji nyuki utafanyika kwa kuzingatia mbinu za kisasa; kanuni, zana na nyenzo bora; basi uzalishaji unaweza kuongezeka. Pia, yatapatikana mazao yenye ubora stahili na ambayo yataweza kufikia masoko yenye tija. Kwa kuzingatia changamoto zilizopo katika sekta ya nyuki; hasa suala la elimu, ujuzi na utaalamu wa kufuga kwa tija. Ujio wa kitabu hiki, “Ufugaji nyuki kibiashara: Nadharia na vitendo” kitachangia katika kuleta ufanisi katika sekta ya nyuki nchini. Ni matumaini yetu kuwa ujuzi uliomo katika kitabu hiki utawafaa wadau mbalimbali katika sekta ya nyuki. Asanteni sana. en_US
dc.description.sponsorship VIRILUOS en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Chuo Kikuu Mzumbe en_US
dc.subject Ufugaji nyuki en_US
dc.subject Kibiashara en_US
dc.title Ufugaji nyuki kibiashara en_US
dc.title.alternative :Nadharia na Vitendo en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu