xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Wizara ya kilimo chakula na ushirika
dc.date.accessioned 2024-04-29T08:15:39Z
dc.date.available 2024-04-29T08:15:39Z
dc.date.issued 2006-04
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/865
dc.description Jarida en_US
dc.description.abstract Mwaka 2005/2006 Tanzania inakabiliwa na upungufu inkuwa wa chakula. Sababu kubwa ya upungufu huo ni hah ya ukame ulioikumba nchi yetu. Hata hivyo tatizo hilo la upungufu wa chakula lisingckuwa kubwa kiasi hicho iwapo wananchi kwa ujumla wangekadiria sawa sawa kiasi cha chakula wanachohilaji na kukihifadhi wakati wa mavuno. Ukadiriaji wa mahitaji ya chakula katika kaya ni jambo la muhirnu katika kuhakikisha kuwa familia hasa za vijijini zinakuwa na chakula cha kutoshelcza mahitaji ya mwaka mzima. Kaya ikifahamu mahitaji yake itaweka mipango thabiti ya uzalishaji kulingana na mahitaji ya chakula na matumizi mengine kama vile kuuza, kutoa zawadi, kufanya sherehe na shughuli mbalimbali za mila na'desturi. Wakati wa kukadiria kiasi cha mazao ya kuhifadhi katika kaya ni muhirnu kuzingatia idadi ya watu katika kaya, utaalam wa kuhifadhi, vyombo au sehemu ya kuhifadhia na matumizi mengine . en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Wizara ya kilimo Chakula na Ushirika en_US
dc.relation.ispartofseries ;no.471
dc.subject Kilimo en_US
dc.subject Wakulima en_US
dc.subject Chakula en_US
dc.title Ukulima wa Kisasa. en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu