Kwa ufupi:
Jarida la kilimo endelevu Afrika Mashariki, katika toleo hili kuna makala zifuatazo: - Magonjwa hudidimiza pato la mkulima; - Asilimia 30 wanakula sumu ya kuvu; - Mbolea ya asili inayotokana na magugu maji; - Ugonjwa wa miguu na midomo (FMD); - Kilimo bora cha mbaazi husaidia wakulima kukabiliana na uhaba wa chakula; - Wakulima huelimishana kwa njia ya maswali; - Kuna umuhimu gani wa kutumia majivu kwenye udongo; - Dhibiti wadudu na magonjwa ya mbogamboga; - Wadudu wa nyanya na namna ya kuwadhibiti: - Wadudu wa vitunguu na namna ya kuwadhibiti; - Wadudu wa kabichi na namna ya kuwadhibiti; -