Kwa ufupi:
Jarida la kilimo endelevu Afrika Mashariki toleo hili lina makala zifuatazo: - Unaweza kuongeza thamani na pato kwa usindikaji wa mihogo; - Vitamini na madini ni muhimu kwa afya ya kuku; - Sindika mbegu za Rosella kupata kinywaji; - Fahamu umuhimu wa mbuzi wa maziwa; - Utayarishaji, ukaushaji na usindikaji wa mihogo mibichi; - Upungufu wa vitamini huathiri kuku; - Dhibiti magonjwa na wadudu kwa njia za asili; -