Kwa ufupi:
Vikongomwa ni wadudu hatari sana wa migomba duniani kote. Idadi ya vikongomwa inaweza kupunguzwa kwa kutumia vipanzi safi, kuharibu mabaki ya mimea na kutumia mwarobaini; Hata hivyo, kuhamia kwa vikongomwa kutoka kwa mashamba jirani kunaweza kupunguza ufanisi wa njia zozote za kukabiliana nao.