Kwa ufupi:
Jarida hili la Mkulima Mbunifu linalenga zaidi kutoa elimu sahihi kwa mkulima juu ya shughuli zao mbalimbali katika toleo hili kuna makala juu ya: Utengenezaji wa kiuatilifu cha asili; Fahamu vitamini na madini ya kujenga kinga ya mwili; Boresha kundi lako la kondoo kwa kuzalisha chotara; Hifadhi vyakula vitokanavyo na mihogo na viazi vitamu ili kuepuka njaa wakati wa ukame; Fahamu vyakula bora ambavyo unaweza kulisha kuku; Kilimo bora cha sukuma wiki (kale); Tumeamua kufanya kilimo hai kwa ajili ya afya zetu;