Kwa ufupi:
Mboga za majani ni sehemu muhimu katika mlo wa mwanadamu.Mbogahizihutoa virutubisho muhimu kama vile protini,vitamini na madini ambavyo ni muhimukatika mwili wa mwanadamu kwa afya bora.Ulaji wa mbogamboga katika nchi nyingi za Afrika zilizochini ya jangwa la sahara ikiwemo Tanzania,upochini ya kiwango kinachoshauriwa na shirika la chakula la umoja wa mataifa(FAO).Hivyo basi uzalishaji wa miche bora kitaluni na utunzaji wa miche bustanini/shambanikwakutumia mbinu za kisasa ni msingi muhimu sanakatika kuboresha upatikanaji na ulaji wa mboga kwa kaya na jamiikwa jumla