Ghala la Mkulima

Jinsi ya kufanya kilimo cha Vitunguu Maji 2021

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Mtalula, Mohamed M.
dc.date.accessioned 2021-05-05T08:38:58Z
dc.date.available 2021-05-05T08:38:58Z
dc.date.issued 2016-06-11
dc.identifier.citation https://www.mogriculture.com/2016/06/kilimo-cha-vitunguu-maji/ en_US
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/553
dc.description Kilimo cha vitunguu maji en_US
dc.description.abstract Kilimo cha vitunguu maji ni muhimu sana hapa Tanzania. Vitunguu vinaweza kutumika kama zao la chakula au la biashara kwa aina zote za wakulima, wakubwa na wadogo. Zao la vitunguu linazalishwa kutokana na mbegu, na miche inakuzwa kwenye kitalu kabla ya kupandikizwa shambani. Miche inakuwa na ‘kuzaa’ vitunguu. Vitunguu vikikomaa, vinavunwa na kuuzwa au kuhifadhiwa ghalani. Wingi na ubora wa mavuno hutegemea; hali ya hewa, aina ya vitunguu, aina ya mbegu bora, usimamizi wa kilimo bora, uangalizi wakati wa kuvuna, usafirishaji na uhifadhi bora. Mavuno ya vitunguu kwa ekari bado ni madogo sana hapa nchini (kiasi cha tani nne kwa ekari) na upotevu wa mazao baada ya kuvuna ni mkubwa (kiasi cha 50% – 80%) kutokana na uhifadhi duni. Hivyo ukiwa kama mkulima unahitaji utaalamu wa kilimo bora cha vitunguu na njia bora za kuhifadhi ili kuongeza uzalishaji na kipato. en_US
dc.description.sponsorship mogriculture.com en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher mogriculture.com en_US
dc.subject Jinsi ya kufanya Kilimo cha Vitunguu Maji 2021 en_US
dc.title Jinsi ya kufanya kilimo cha Vitunguu Maji 2021 en_US
dc.title.alternative Kilimo cha Vitunguu Maji 2021 en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu