Ghala la Mkulima

Kilimo bora cha nyanya

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author MUTSAERS, C.
dc.date.accessioned 2022-01-25T10:42:35Z
dc.date.available 2022-01-25T10:42:35Z
dc.date.issued 2018-11-29
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/561
dc.description.abstract Nchini Tanzania zao la nyanya hulimwa karibu katika mikoa yote hasa ya Arusha, Kilimanjaro, Morogoro, Iringa, Mwanza, Dodoma, Tanga, Pwani na Mbeya. Nyanya ni zao la chakula na biashara. Kilimo cha zao hili hufanyika majira yote (masika na kiangazi), na faida hupatikana haraka na ni ya kuridhisha ikilinganishwa na mazao mengine. Pamoja na umuhimu wa zao hili, wadudu waharibifu na magonjwa huathiri uzalishaji na ubora wa matunda. Ili mkulima aweze kupata faida na kuongeza pato la kaya yake ni vema kuzingatia kanuni bora za kilimo pamoja na udhibiti wa magonjwa na wadudu wa zao hili. en_US
dc.language.iso en en_US
dc.subject Kilimo cha nyanya, Aina za nyanya en_US
dc.title Kilimo bora cha nyanya en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu