xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.date.accessioned | 2022-01-25T11:05:21Z | |
dc.date.available | 2022-01-25T11:05:21Z | |
dc.date.issued | 2008-05-01 | |
dc.identifier.citation | http://www.kilimohai.org/fileadmin/02_documents/06_factsheets/07_crops/Ndizi__Banana-Swahili_.pdf | en_US |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/570 | |
dc.description | Kilimo cha ndizi | en_US |
dc.description.abstract | Kutumia kilimo hai katika kilimo cha ndizi kunachangia katika uzalishaji endelevu na udhibiti wa magonjwa na wadudu na huweza kuleta mavuno mengi Kulingana na Shirikisho la kimataifa la harakati za kilimo hai (IFOAM, 2008), Kilimo-hai kinafafanuliwa kuwa ni “ mfumo wa uzalishaji ambao unaendeleza afya ya udongo, mifumo ya ikolojia na watu. Kilimo hiki hutegemea kwenye michakato ya ki-ikolojia, bioanuwai na mizunguko asilia ambayo inakubaliana na mazingira ya maeneo husika, badala ya kuingiza pembejeo ambao zina athari mbaya. Kilimo hai kinajumuisha utamaduni, ubunifu na sayansi ili kunufaisha mazingira tunayoshirikiana na kukuza mahusiano ya haki na maisha bora kwa wote wanaohusika”. | en_US |
dc.description.sponsorship | (IFOAM | en_US |
dc.publisher | TOAM | en_US |
dc.subject | Kupanda ndizi kwa mbinu za kilimo hai | en_US |
dc.title | kupanda ndizi kwambinu za kilimo hai | en_US |
dc.title.alternative | Ndizi | en_US |
dc.type | Article | en_US |