xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Mliga, Hekima
dc.date.accessioned 2022-04-12T10:56:56Z
dc.date.available 2022-04-12T10:56:56Z
dc.date.issued 2021-05-13
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/576
dc.description.abstract Nyanya ni miongoni mwa mazao ya mboga yanayozalishwa nchini Tanzania.Nyanya imewekwa katika kundi la mboga za matunda sababu kuu ni kwamba tundalake ndiyo sehemu ya mboga inayotumika kwa chakula.Takwimu zinaonyesha kwamba nyanya inachangia asilimia 64 ya mazao yamboga na matunda yanayolimwa nchini Tanzania. Nyanya zinalimwa maeneo mengi nchini Tanzania japokua mikoa inayoongoza kwa uzalishaji wa kiasi kikubwa ni Morogoro, Iringa, Mbeya, Arusha, Kilimanjaro, Singida, Tanga na Zanzibar. Mkoa wa Morogoro ndiyo unaoongoza kwa kilimo hichi ikiwa na wazalishaji wenye zaidi ya hekta 6,159 (ekari 15,398). Pamoja na kwamba eneo la uzalishaji linaongezeka kwenye maeneo mengi lakini uzalishaji wa nyanya bado ni mdogo sana. Uzalishaji mdogo unasababishwa na kupungua kwa rutuba ya ardhi, upepo, joto, ukame. Sababu nyingine ni pamoja na ukosefu wa aina za nyanya zenye mavuno mengi amabazo zinahimili mazingira, kukosekana kwa masoko, wadudu, magonjwa na magugu sumbufu. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Sokoine University of Agriculture en_US
dc.subject Upandaji, nyanya, shambani ,Utunzaji , mazao, Uvunaji en_US
dc.title Kilimo cha Nyanya en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu