Kwa ufupi:
Kahawa ni zao ambalo liko katika kundi la mimea yenye ghala mbili, linalotoa matunda yake kwa msimu, kahawa pia ni zao la biashara linaloliingizia taifa fedha nyingi za kigeni. Ni la pili baada ya Tumbaku. Kinywaji chake hutokana na buni ambazo ni mbegu za mbuni.