xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | Mtega, Wullystan | |
dc.date.accessioned | 2022-04-12T11:01:54Z | |
dc.date.available | 2022-04-12T11:01:54Z | |
dc.date.issued | 2021-05-16 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/580 | |
dc.description.abstract | Shughuli za kilimo huhusisha uzalishaji wa kumbukumbu tofauti. Kumbukumbu hizo hutokana na malipo mbalimbali yafanywalo shambani na shughuli za uzalishaji shambani. Kumbukumbu za kifedha hurekodi gharama za uwekezaji za kudumu na gharama za uendeshaji wa miradi ya kilimo. Zile za uzalishaji hurekodi taarifa mbalimbali zisizohusu pesa ambazo hutokea shambani. Kumbukumbu zote hizi ni lazima zirekodiwe kwa usahihi na kwa wakati ili zisaidie katika kutoa maamuzi. Wakulima wanatakiwa kutunza taarifa ya matukio yote ya muhimu yahusuyo shughuli za kilimo zinazofanyika katika mashamba yao. Bila kutunza kumbukumbu za kilimo wakulima hujikuta wanaingia kwenye hasara zisizo za msingi. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Sokoine University of Agriculture | en_US |
dc.subject | Taarifa | en_US |
dc.subject | Kumbukumbu | en_US |
dc.subject | Rekodi | en_US |
dc.subject | Tehama | en_US |
dc.title | Upatikanaji na matumizi ya taarifa za kilimo. | en_US |
dc.title.alternative | Mwongozo kwa Wakulima. | en_US |
dc.type | Article | en_US |