Kwa ufupi:
Karanga ni mojawapo ya mazao yanayotoa mafuta.
Katika Tanzania zao hili hustawi zaid katika mikoa ya
Kusini Mashariki, Dodoma na Morogoro. Pamoja na
kutoa mafuta vile vile zao hutumika kwa njia nyingine
mbali mbali, nazo ni pamoja na: Chakula cha
wanyama / mifugo (Mashudu na majani), kurutubisha
ardhi na chakula cha binadamu: kutafuna na kuunga
kwenye mboga/chakula (Confectionary)
Kwa ujumla zao hili hutumika na wakulima kama zao
la biashara.