Ghala la Mkulima

Ongeza mavuno ya karanga kwa kutumia mbinu bora za kilimo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Kituo cha utafiti wa Kilimo Makutupora
dc.date.accessioned 2022-04-12T11:05:35Z
dc.date.available 2022-04-12T11:05:35Z
dc.date.issued 2019
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/585
dc.description.abstract Karanga ni zao lenye viini lishe vya protini na mafuta kwa wingi. Mabaki ya mimea ya karanga pia yana viini lishe vya protini, hivyo ni chakula kizuri cha mifugo.Karanga pia huboresha rutuba ya udongo kwa kuongeza kiasili cha naitrojenikwenye udongo. Sifa hizi zinafanya karanga kuwa mmea bora katika kilimo cha kuchanganya au kuzungusha mazao hasa jamii ya nafaka. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Ukanda wa Tropiki (IITA), en_US
dc.subject Karanga,Kuvuna,kupanda,Wadudu. en_US
dc.title Ongeza mavuno ya karanga kwa kutumia mbinu bora za kilimo en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu