xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | SAGCOT | |
dc.date.accessioned | 2022-04-12T11:17:03Z | |
dc.date.available | 2022-04-12T11:17:03Z | |
dc.date.issued | 2017 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/587 | |
dc.description.abstract | Parachichi (Persea americana) ni mti, mrefu unaosemekana asili yake ni Kusini Kati mwa nchi ya Mexico. Tunda la mmea, pia linaitwa parachi (au avocado pear au alligator pear), ni asili ya mmea wa tunda kubwa linalokuwa na mbegu kubwa inayokulikana kama "shimo" au "jiwe". Parachichi kama yalivyo matunda mengi yenye virutubisho vya lishe yana thamani kubwa ya kibiashara na kulimwa sehemu zenye ukanda wa kitropiki na mediteranea duniani kwote. Kiwango cha hali ya afya ya udongo unaofaa kustawi kwa parachichi ni kati ya pH 6.2 na 6.5.. Kituo cha Kimataifa cha Biashara (ITC), Tanzania imeshuhudia uuzaji nje ya nchi ukikua kwa CAGR ya asilimia (35%), kutoka mwaka 2013 mpaka 2017, ikikaribia tani za ujazo elfu 4.4 mwaka 2017 kutoka tani za ujazo elfu 1.4 mwaka 2013. Nchini Tanzania, uzalishaji wa Parachichi unaanza kufahamika miongoni mwa jamii huku mashamba mapya yakiendelea kufunguliwa maeneo mbalimbali nchini. Mikoa kama ya Njombe, Iringa, Geita na hata mkoa wa Kagera kumeshuhudiwa ongezeko la maeneo yaliyopandwa na hutoa mavuno makubwa; aina inayopandwa kwa ajili ya soko la nje – Hass na Fuerte. Mikoa mingine ambapo parachichi hulimwa ni Arusha, Morogoro, Kilimanjaro, Mbeya, Songwe and Ruvuma. Parachichi linahitajika sana kwenye soko la dunia kwa sasa na kuweza kuchangia mapato ya fedha za kigeni na mapato kwa Serikali kama litasimamiwa vizuri. Mbali ya kuongezeka kwa ukubwa wa mauzo ya nje ya nchi, kuna hamu ya Uwekezaji katika kuongeza thamani ya Parachichi. Kongani ya Ihemi viko viwanda viwili, mkoani Iringa kipo Zalacado na mkoani Njombe kipo Olivado. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | SAGCOT Centre Limited | en_US |
dc.subject | Parachichi | en_US |
dc.subject | Soko | en_US |
dc.subject | Umwagiliaji | en_US |
dc.subject | Wakulima | en_US |
dc.title | Ubia mkakati wa zao la Parachichi | en_US |
dc.type | Article | en_US |