xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.date.accessioned | 2022-04-12T11:31:00Z | |
dc.date.available | 2022-04-12T11:31:00Z | |
dc.date.issued | 2007-01-03 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/588 | |
dc.description.abstract | Mwaka uliopita umekuwa na ongezeko la shughuli katika Idara ya Uboreshaji wa zao la kahawa. Majaribio zaidi yameongezwa, mbegu chotara kuendeleza aina bora zimezalishwa, na watafiti waliokuwa masomoni kwa Shahada ya Uzamili wanakaribia kumaliza masomo yao na pia tulianza kazi ya kuzalisha miche kwa njia ya chupa.Kazi zote zilizoongezeka zimefanywa kwa kutumia wafanyakazi wachache waliopo Idarani ambapo ongezeko la kazi lilikuwa changamoto kubwa. Hapo mbeleni, kuna umuhimu wa Idara kuendeleza kitaalamu Bw/Bi. Shamba waliopo na kuajiri angalau wengine watatu ili kukabiliana na ongezeko la kazi. | en_US |
dc.description.sponsorship | TaCRI | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | TaCRI | en_US |
dc.subject | Uongezaji Tija na Ubora wa Zao LA KAHAWA | en_US |
dc.subject | Kuzalisha miche ya kahawa kwa njia ya chupa | en_US |
dc.title | Taasisi ya Utafiti wa Kahawa Tanzania: Taarifa ya mwaka 2007 | en_US |