Ghala la Mkulima

Mifumo endelevu ya nishati ya miti (mkaa na kuni) Tanzania : mwongozo wa mafunzo ya awali

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author TAREA
dc.date.accessioned 2022-04-12T11:35:46Z
dc.date.available 2022-04-12T11:35:46Z
dc.date.issued 2018-10-09
dc.identifier.citation http://dx.doi.org/10.5716/B17979.PDF en_US
dc.identifier.isbn 978–9966–108–13-5
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/591
dc.description.abstract Nishati ya miti (mkaa na kuni) ni aina ya nishati inayotumika zaidi kwenye kupikia na kwenye kuota moto kusini mwa Jangwa la Sahara na hutumika kwenye biashara ndogo ndogo kama migahawa, uokaji, biashara za mamantilie, utengenezaji wa matofali, pamoja na ukaushaji wa mazao kama chai na tumbaku.  Zaidi ya 90% ya wakazi kusini mwa Jangwa la Sahara inategemea ama kuni au mkaa.  Nishati ya miti huchangia yapata 90% ya nishati ya miti nchini Tanzania.  Mkaa unatumika zaidi mijini wakati kuni hutumika zaidi vijijini. Yapata 70% ya kaya za mijini hutegemea mkaa.  Afrika huzalisha 62% ya mkaa wote duniani ambao unakisiwa kufikia tani milioni 52.  Tanzania inashika nafasi ya saba kwa uzalishaji wa mkaa duniani, ikichangia kama 3% ya uzalishaji wa mkaa wote duniani, kwa kiasi cha zaidi ya tani 1.6. en_US
dc.description.sponsorship Climate Technology Centre and Network ( CTCN) en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher WORLD AGROFORESTRY CENTRE en_US
dc.subject Mambo yahusuyo uendelevu kwenye mifumo ya nishati ya miti en_US
dc.subject BIASHARA NA MASOKO YA NISHATI YA MITI en_US
dc.subject MKAA MBADALA KAMA CHANZO MBADALA CHA NISHATI YA BIOMASI en_US
dc.subject MFUMO WA SERA NA UDHIBITI WA NISHATI YA MITI en_US
dc.subject SABABU NA MADHARA YATOKANAYO NA MIFUMO ISIYO ENDELEVU YA NISHATI YA MITI en_US
dc.title Mifumo endelevu ya nishati ya miti (mkaa na kuni) Tanzania : mwongozo wa mafunzo ya awali en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu