xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | Nguzo, Said H. | |
dc.date.accessioned | 2022-04-25T05:43:50Z | |
dc.date.available | 2022-04-25T05:43:50Z | |
dc.date.issued | 2022-03 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/649 | |
dc.description.abstract | Makala inayoelezea kwa kina juu ya Pilipili mbuzi ambalo ni zao linaloweza kulimwa kibiashara na kumpatia faida nzuri mkulima. Zao hili huitaji mwanga wa kutosha wa jua (ingalau kiasi cha masaa 6 kwa siku) Pilipili hustawi vizuri zaidi kwenye udongo wenye mbolea ya asili, undongo wenye unyevu nyevu ila usiwe wenye kutuamisha maji. Pilipili mbuzi huitaji udongo wenye pH 6.0 hadi 6.8, Ikiwa pH ni chini ya 6.0 ongezea madini chokaa kwenye udongo; Na ikiwa pH ya udongo imefika 8 onana na wataalam wa kilimo wakusahuri namna ya kuipunguza. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.subject | Pili pili mbuzi | en_US |
dc.subject | Pilipili | en_US |
dc.subject | Mboga mboga | en_US |
dc.title | Kilimo Bora cha Pilipili mbuzi | en_US |
dc.type | Article | en_US |