DSpace at My University: Recent submissions

  • Idara ya misitu na nyuki (Wizara ya Maliasili na Utalii, Tanzania, 2021-01)
    Ufugaji Nyuki ni miongoni mwa sekta muhimu za kiuchumi nchini Tanzania, yenye mchango mkubwa kwenye maisha ya watu wengi mijini na vijijini. Sekta hii inakadiriwa kuajiri zaidi ya watu milioni mbili nchini kwenye mnyororo ...
  • Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (Spring Lodge, 172 Barabara ya Chester, Helsby, WA6 0AR, UK, 2019-08)
    Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) litasafirisha mafuta kutoka kwenye kituo cha mafuta, kilichopo Wilayani Hoima, nchini Uganda, kuelekea kwenye kituo cha kuhifadhia na kituo cha kupakia mafuta kwenye meli ...
  • Kinsey, Erwin (Echo community, 2011)
    Ufugaji wa mifugo kiasili ni mfumo wa maisha ambao watu au jamii husika wanaishi maisha yao kwa kutegemea mifugo. Katika ukanda wa Afrika ya Mashariki, wafugaji hawa hutegemea zaidi mifugo ya aiana mbali mbali kama; ng’ombe, ...
  • Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele (Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele, 2022-06-25)
  • Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele (Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele, 2022-06-25)
  • Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele (Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele, 2022-06-25)
  • Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele (Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele, 2022-06-25)
    Viriba vinaweza kutengenezwa kwa kutumia mifuko ya plastiki au karatasi ya plastiki kiuchumi viriba vidogo( i.e 7.5 sm kipenyo sm 20 kimo) Vinamanufaa zaidi kwasababu huhitaji udongo kidogo na huchukua eneo dogo la kitalu ...
  • Imani, Rababa (Sokoine university of agriculture, 2017-10-02)
    Apple ni moja kati ya matunda yanoyo pendwa sana, na wengine wamefikia mbali hadi kulifanya apple kua tunda la ishara ya upendo, pia kuna aina mbili za matunda ya apple yaani yanoyo liwa bila kupikwa na yale ambayo ni ...
  • Sokoine University of Agriculture, Mradi wa Food land Mvomero (SUA $ Food land, 2024-07)
    Lishe ni sehemu muhimu ya afya na maendeleo.Lishe bora inahusisha kuboreshwa kwa afya ya watoto wachanga kuanzia wakiwa tumboni ili kuwawezesha kukua vyema kimwili na kiakili, kujenga kinga imara zaidi, kupunguza hatari ...
  • BBC NEWS Swahili (BBC NEWS, 2023-01-07)
    Unywaji maji ya limau kumehusishwa na faida nyingi, ikiwa ni pamoja na kuboresha ngozi na usagaji chakula.Ndimu na matunda mengine ya machungwa yanajulikana sana kwa ngozi zao za rangi, zilizo na mashimo na ladha nyororo ...
  • Jamii forum (Jamii Forum, 2017-01)
    Mkonge au Katani ni moja kati ya zao la biashara Jina la kisanyansi inaitwa Agave sisalana. Asili ya zao hili ni Mexico na baadae likasambaa katika nchi nyingine, kwa mara ya kwanza lilitambushwa katika nchi za kitropikia ...
  • Menas, John (LIshe4life, 2023-08-25)
    Matunda na mboga mboga, kama vile nanasi na brokoli, huchochea mfumo wa mmeng’enyo mwilini, kufanya hivyo kuwa rahisi kumeng’enya chakula na kupunguza maumivu ya tumbo. Matunda yana vimeng’enya ambavyo husaidia katika ...
  • Katuma Blog (Mzizi Mkavu Blog, 2006-02)
    Mchaichai kama kiungo cha chakula jikoni na wengine hutumia kama dawa ya mbu. Lakini, je unafahamu kuwa majani haya yana aida kubwa kiafya. Mafuta vya mchaichai hutumika katika viwanda vinavyotengeza pafyumu na sabuni. ...
  • Mjasiriamali Hodari (Mjasiriamali Hodari, 2020-01)
    Zao la Pilipili kichaa 'Hot pepper' au 'Chilli pepper' (Capsicum frutescens) hulimwa maeneo mengi ulimwenguni ikiwemo nchini Tanzania. Matunda ya pilipili hutumika kwa matumizi mbali mbali kama chakula au kama tiba (medicinal ...
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2024-04-12)
    Maharagwe ya soya ni moja ya mazao muhimu katika jamii ya mikunde katika nyanja za uzalishaji wa kibiashara kutokana na kuwa na kiasi kikubwa cha protini (35-40%). Soya inatumika katika kuandaa vyakula vinavyoliwa vikiwa ...
  • Shirika la chakula duniani (Shirika la chakula duniani, 2024-05-30)
    Kuna faida za kiafya za kunywa chai ambazo labda huzijui. Chai ni mojawapo ya vinywaji vinavyotumiwa sana duniani na imekuwa ikitumiwa kwa karne nyingi. Kuna aina tofauti za chai; nyeusi, kijani, nyeupe na rangi zingine. ...
  • Williams, Jo (Shirika la chakula duniani, 2024-06-09)
    Kama mzazi, mahitaji ya lishe ya mtoto wako mchanga na mtoto aliyekuwa kidogo ni wazi kuwa ni kipaumbele, na ni rahisi kuhisi kulemewa na habari nyingi za mitandaoni. Vyakula ambavyo mtoto hula katika miaka yao ya mapema ...
  • Mohamed, Mtalula (Mogri culture Tanzania, 2024-04-13)
    Kanuni hizi zinajumuisha Kuandaa shamba mapema, matumizi ya mbegu bora, Kupanda kwa wakati na kwa nafasi, matumizi bora ya maji, matumizi sahihi ya mbolea na viuatilifu, kudhibiti magugu, magonjwa na wadudu wa mazao. Pia ...
  • Globalpublishers (Global, 2024-10-03)
    JAPOKUWA bamia huchukuliwa na wengi kuwa ni chakula rahisi kinachotumiwa zaidi na kundi la watu wenye uchumi wa chini na kati, ukweli kwamba aina hiyo ya mboga ina maajabu ya aina yake mwilini. Walaji wa bamia hunufaika ...
  • Rich Mathey - M&M Tree Care (Rich Mathey - M&M Tree Care, 2019-01)
    Kuvu kwenye miti yako inaweza kuja kwa aina nyingi kama vile uyoga wa rafu usio na madhara kwa kitu hatari zaidi kwa miti yako kama vile Rhizosphaera Needle Cast ambayo itaua mti wako wa Colorado Blue Spruce. Huwezi kamwe ...

Tafuta kwenye mkulima

Peruzi

My Account