Kwa ufupi:
Kichocho ni ugonjwa ambao huathiri eneo fulani la jamii au eneo fulani la kijiografia kwa
kitaalamu tunaita endemic, ambapo watu wanaathirika kutokana na shughuli zao za kila siku mfano
wakulima, wavuvi, na vilevile kutokana na starehe kama kuogelea kweye bwawa lisilo salama au
ziwani.