Ghala la Mkulima

Utafutaji Chakula na Lishe Kwa tarehe ya kutolewa kitabu

Utafutaji Chakula na Lishe Kwa tarehe ya kutolewa kitabu

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Mwandishi Hajulikani (Ukulima wa kisasa, 1989-07)
    Mboga na matunda ni muhimu kwa ajili ya miili yetu.Hutupatia vitamini na madini,viini ambavyo hulinda miili yetu isishambuliwe na magonjwa pamoja na kujenga na kuimaiisha meno na mifupa.
  • Magembe, A (Ukulima wa kisasa, 1990-07)
    Maboga ni zao la chakula ambalo hulimwa katika sehemu nyingi nchini Tanzania, lakini kwa kiasi kidogo kidogo sana, aghalabu hua linapandwa katika mashamba ya mahindi
  • Kisanga, P.; Mella, O.; Masako, R.; Navetta, D. (Shirika la Chakula na Lishe Tanzania, 1992-10-17)
    Kijitabu hiki cha maswali na majibu ni kimojatu kati ya vijitabu kumi vinavyotolewa aa Shirika la Chakula na Lishe Tanzania kutokana na barua za wasikilizaji wa vipindi vya redio vya "Chakula na Lishe". Vijitabu hivi ...
  • Maganga, S. (TFNC Readers series, 1994)
    Mwili wa binadamu unahitaji maji na virutubisho vya aina mbali mbali. Virutubisho hivyo ni vile vya aina ya nishati, utomwili, madini na vitami-ni. Vyote hivi huhitajika katika kulinda na kujenga mwili ikiwa ni pamojana ...
  • Missano, H.; Temalilwa, C. R.; Maganga, S. (Idara ya Elimu na Mafunzo ya Lishe Shirika la Chakula na Lishe Tanzania, 1994-04-14)
    Kijitabu hiki ni kimojawapo kati ya vijitabu vyenye lengo la kuelimisha jamii juu ya masuala mbali mbali ya lishe. Wazo la kuandika kijitabu hiki limetokana na ukweli kwamba hakuna maandiko ya kutosha yanayohusu elimu ya ...
  • Kimboka, Dr. Sabas (Shirika la Chakula na Lishe Tanzania, 1994-08-13)
    Upungufu waa madini ya joto mwilini ni tatizo kubwa la kiafya hapa Tanzania. Idadi ya watu wanaoathirika inakadiriwa kuwa milioni 5.6 au asilimia 25 ya watu wote. Madini ya joto hupatikana ardhini na huchukuliwa na aina ...
  • Maganga, S. J.; Kimboka, S.; Tatala, S.; Mduma, B.; Ballart, A.; Temalilwa, C. R.; Missano, H. M.; Kisanga, P.; Magalia, A. W.; Ng'wawasya, B. M.; Kayombo, J. K.; 5imonje, L. W.; Ndossi, G. D.; Rwebangira, C. G.; Kayombo, L. C.; Ntoga, B. A. (Shirika la Chakula na Lishe Tanzania, 1994-10-11)
    Upungufu wa wekundu wa damu ni moja ya matatizo sugu ya utaptamlo yanayoathiri watu na kusababisha vito vingi hapa Tanzania. Kutokana na takwimu zilizopo Shirika la Chakula na Lishe Tanzania, inakadiriwa kuwa asilimia ...
  • White, C (1995)
    Karibu I would first of all like to thank all those who wrote to Anna with the recipes and quickly remind all those with good intentions to send more as the recipes can be added at a later date. So, thanks go to ...
  • Mwandishi Hajulikani (Bustani ya Tushikamane, 2000)
    Moringa (Moringa spp.) maarufu kama Mlonge ni miongoni mwa miti muhimu kuliko yote duniani. Mti huu ukuao haraka hupandwa katika maeneo mengi na hutumika kama chakula cha binadamu, lishe ya mifugo, tiba mbadala na kusafisha maji.
  • Mwandishi Hajulikani (Wizara ya elimu, 2000-03-12)
    Kitabu boo kimetayarishwa kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa viongozi wanaohusika na utekelezaji wa mipango ya huduma za chakula cha mchana katika shule za msingi. Watakaoshirikishwa katika mafunzo hayo kwenye ngazi mbalimbali ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kituo cha Ushauri Nasaha, Lishe na Afya - COUNSENUTH, 2003)
    Kunyonyesha ni tendo la kumpa mtoto maziwa kutoka katika titi la mama moja kwa moja au kumnywesha mtoto maziwa ya mama yaliyokamuliwa kwa kutumia kikombe. Maziwa ya mama ni chakula na kinywaji cha kwanza, na cha pekee kwa ...
  • Wizara ya kilimo Tanzania, wizara ya kilimo Tanzania (Wizara ya kilimo, 2003)
    Faida ya mafuta yatokanayo na mazao ya mbegu
  • Mtenga, L.A (Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo, 2003)
    Mradi wa uboreshaji wa mauzo, uhifadhi na ulaji wa nyama vijijini unafadhiliwa na Serikali ya Norway kupitia shirika lake la maendeleo (NORAD) chini ya mradi mkubwa wa Uhakika wa Chakula na Palo la Kaya kwa Wakulima ...
  • TARP II-SUA Project (TARP-Sua, 2003)
    Nyanya ni moja ya mazao ya mbogamboga muhimu Tanzania hususan katika wilaya ya Muheza. Zao la nyanya humwongezea mkulima kipato na kuboresha lishe ya mlaji. Pamoja na faida zake hizi. zao la nyanya ni la msimu na ...
  • Shetto, M.C. (chuo cha kilimo cha Sokoine, 2003-06)
    Wanawarsha pia waliorodhesha mazao ya jamii ya mizizi ili kuelewa aina za mazao haya. Aina tano za mazao ya jamii ya mizizi yaliorodheshwa nayo ni: Muhogo, Viazi vitamu, Magimbi, Viazi vikuu, Viazi mviringo, angawizi ...
  • Kinabo, J.L (Sokoine university of agriculture, 2004)
    Mfumo wa ulaji unaotumika katika vijiji hivi umegawanyika katika sehemu tano ambazo ni: Baba kula pamoja na watoto wa kiume bila kubagua umri. Mama kula peke yake Mama kula na watoto wa kike bila kubagua umri Watoto wa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Quality Assurance Project, 2005)
    Wakati ukiwa mjamzito au unanyonyesha mwili wako unahitaji mlo kamili ambao hutokana na kula vyakula vya aina mbalimbali. Vyakula mbalimbali kila siku husaidia kuhakikisha kuwa unapata nishati na virutubishi vyote ...
  • Lyimo, C. S; Malimbwi, R. E; Lyimo-Macha, J. G; Macha, E; Kawamala, P (TARP II-SUA Project, 2005-02)
    Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) pamoja na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Norway (NLH) wakishirikiana na Wizara ya Kilimo na Chakula (MAFS), wamekuwa wakitekeleza mradi wa "Uhakika Wa Chakula na Pato la Kaya kwa ...
  • Kinabo, Prof. J. L.; Mnkeni, Dr. A.; Nyaruhucha, Dr. C.; Msuya, Dr. J.; Chale, Bi. F. (TARP II - SUA PROJECT, 2005-02-09)
    Mfumo wa ulaji unaotumika katika vijiji hivi umegawanyika katika sehemu nne ambazo ni: 1. Baba kula pamoja na watoto wa kiume bila kubagua umn 2. Mama kula peke yake 3. Mama kula na watoto wa kike bila kubagua umri 4. ...
  • Katuma Blog (Mzizi Mkavu Blog, 2006-02)
    Mchaichai kama kiungo cha chakula jikoni na wengine hutumia kama dawa ya mbu. Lakini, je unafahamu kuwa majani haya yana aida kubwa kiafya. Mafuta vya mchaichai hutumika katika viwanda vinavyotengeza pafyumu na sabuni. ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account