Misitu na Nyuki: Recent submissions

  • (Ndaki ya Misitu, Wanyamapori na Utalii - SUA, 2017-07)
    Kipeperushi kilicho na maelezo kwa ufupi juu ya miti ya Grevillia kuanzia upandaji, utunzaji na matumizi ya miti hiyo.
  • Malimbwi, Rogers E; Zahabu, Eliakimu; Katani, Josiah; Mugasha, Wilson; Mwembe, Uhuru (Climate Change Impacts, Adaptation and Mitigation Programme - CCIAM, 2012-01)
    Upandaji wa miti nchini Tanzania umekuwa ukisisitizwa kwa miongo kadhaa lakini kukubalika kwa shughuli hizi kumekuwa hakuridhishi. Tofauti na watu wa sehemu nyingine za nchi, watu wa Wilaya ya Makete wamehamasika kupanda ...
  • Augustino, S; Makonda, F. B. S; Gillah, P. R; Ishengoma, R. C; Migunga, G. A; Ericksen, S (Climate Change Impacts, Adaptation and Mitigation Programme, 2012)
    Inakadiriwa kuwa zaidi ya watu millioni 20 nchini Tanzania hususan kutoka katika jamii zinazozunguka raslimali za misitu hutegemea Mazao si Timbao kwa ajili ya kuboresha hali ya maisha yao na kipato kazi. Licha ya utegemezi ...
  • Kusolwa, Paul M; Mghembe, E. R; Mwaitulo, S (Climate Change Impacts, Adaptation and Mitigation Programme, 2012-03)
    Kilimo ni uti wa mgongo wa mkulima vijijini. Kulingana na kukua kwa familia, kupungua kwa rutuba na mabadiliko ya mahitaji ya wakulima vijijini wakulima wameendelea kufungua mashamba mapya ili kuongeza mavuno na kipato. ...
  • Abdalah, J. M; Augustino, S; Lyaruu, H. V; Silayo, D. A; Kiparu, S. S (Climate Change Impacts, Adaptation and Mitigation Programme, 2012)
    Mradi wa Kuongeza Teknolojia za Kupunguza Hewa ya Ukaa na Kuboresha Maisha ya Jamii zinazozunguka misitu ni sehemu ya Mradi wa Kuweka Mikakati ya Kuokoa Misitu iliyo hatarinini kutoweka nchini Tanzania yaani ‘Strategic ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account