Misitu na Nyuki: Recent submissions

  • Msanga, H. P (Wakala wa Mbegu za Miti, Wizara ya Maliasili na Utalii, 2017)
    akwimu zinaonyesha kuwa eneo la misitu ya asili hapa Tanzania ni hekta (ha) 48,000,000 na misitu ya kupandwa ni ha 553,000. Inakadiriwa kuwa uharibifu wa misitu ya asili ni ha 403,000 kwa mwaka. Uharibifu huu mkubwa un ...
  • Kawamala, P. M; Lyimo-Macha, J. G; Malimbwi, R. E (TARP II-SUA Project, 2005-06)
    Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Chakula (MAFS), na Chuo Kikuu cha Kilimo chaNorway (NLH), kinatekeleza mradi wa Utafiti wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima ...
  • Bakari, A; Malimbwi, R. E; Lyimo-Macha, J. G (TARP II-SUA Project, 2004)
    Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Chakula, na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Norway (NLH), kinatekeleza mradi wa Utafiti wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogowadogo ...
  • Mwaseba, D. L; Matee, A. Z; Wambura, R. M (PANTIL - SUA, 2006)
    Shughuli za utafiti chini ya Programu ya Mageuzi ya Kilimo na Maliasili kwa Maisha Bora (PANTIL) zilianza rasmi mwanzoni mwa mwezi Januari 2006. Lengo la programu hii ambayo itatekelezwa kwa muda wa miaka minne (2005-2009) ...
  • Cramp, David (How To Content, 2008)
    This book will help you to start and continue to be a beekeeper. It offers advice in a very practical manner, with step-by-step guidance at each stage of the way. The advice and information it contains are based on general ...
  • Mwandishi Hajulikani (Shirika la kuhifadhi Misitu ya Asili Tanzania - TFCG, 2010)
    Kuna mawazo ya kina yanayokubalika kwamba usimamizi shirikishi utawezekana tu pale mawazo na vipaumbele vya jamii husika yatahusishwa katika mipango ya matumizi bora ya ardhi kama hifadhi na uangalizi unafanyika kwa ...
  • Ramezanpour, C; Kamau, M. N; Nguma, B; Muinde, T; Chai, E. C; Karisa, T (Coast Development Authority - Kenya, 2005)
    Kenya ina maeneo mengi tofauti tofauti. Jimbo la kati ni baridi, kule mkoa wa Nyanza kuna mvua nyingi, kuna jangwa kaskazini, na hapa pwani ni joto sana. Kila eneo lina sifa maalum – hali ya hewa, hali ya joto, kiasi cha ...
  • Malimbwi, R. E; Zahabu, E; Katani, J; Mugasha, W; Mwembe, U (Faculty of Forestry and Nature Conservation - SUA, 2012-01)
    Tree planting programme in Tanzania has been advocated for decades but adoption of these activities is not promising in most parts of the country. To the contrary, people in Makete district responded positively to ...
  • Malimbwi, R. E; Zahabu, E; Mugasha, W; Katani, J; Mwembe, U (Faculty of Forestry and Nature Conservation, Sokoine University of Agriculture - SUA, 2012-01)
    Tree planting programme in Tanzania has been advocated for decades but adoption of these activities is not promising in most parts of the country. To the contrary, people in Makete district responded positively to ...
  • Msalilwa, J (Idara ya Biolojia ya Misitu, Sokoine University of Agriculture - SUA, 2013)
    NYUKI NI NINI? Nyuki ni wadudu wadogo wenye uwezo wa kuruka na hutengeneza vyakula vyao wenyewe kutokana na maji matamu yanayopatikana kwenye maua ya miti na ungaunga unaopatikana katika maua. Wadudu hawa wanauwezo wa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Wizara ya Maliasili na Utalii, 2004-08)
    Kijitabu hiki kunatoa mwongozo kwa lugha nyepesi kuhusu Programu ya Taifa ya Ufugaji Nyuki Tanzania inayotekelezwa katika kipindi cha mwaka 2001–2010. Programu hii iliidhinishwa na Serikali mwezi Novemba 2001. Programu ...
  • Mutsaers, Marieke; Blitterswijk, Henk van; ’t Leven, Leen van; Kerkvliet, Jaap; Waerdt, Jan van de (CTA, 2010)
    Kitabu kinachoelezea ufugaji nyuki na mazao yanayopatikana kutokana na ufugaji huo na jinsi ya kuyaendeleza hadi kufikia hatua ya uuzaji na kujipatia faida.
  • Shemdoe, R; Mombo, F; Deusdedit, K; Ebenezer, M; Kingazi, S (Climate Change Impacts, Adaptation and Mitigation Programme - CCIAM, 2014-08)
    MKUHUMI ni mradi ulioibuliwa na Umoja wa Mataifa kwa madhumuni ya kuthibiti ukataji wa miti ili kusadia kupunguza athari za mabadiliko ya tabia nchi. Ili miisitu iweze kukaa bila ya kukatwa inabidi baadhi ya watu hasa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Ndaki ya Misitu, Wanyamapori na Utalii - SUA, 2017)
    Kipeperushi kinachoelezea ufugaji bora wa nyuki na jinsi ya kuvuna mazao yake ikiwemo asali.
  • Mkongo 
    Mwandishi Hajulikani (Ndaki ya Misitu, Wanyamapori na Utalii - SUA, 2017)
    Kipeperushi kinachoelezea upandandaji, utunzaji na matumizi ya miti ya mkongo
  • Mkaratusi 
    Mwandishi Hajulikani (Ndaki ya Misitu, Wanyamapori na Utalii - SUA, 2017)
    Kipeperushi kinachoelezea utuzanji na upandaji wa miti ya mikaratusi
  • Mkangazi 
    Mwandishi Hajulikani (Ndaki ya Misitu, Wanyamapori na Utalii - SUA, 2017)
    Kipeperushi kinachoelezea upandaji na utunzaji wa miti ya Mkangazi
  • Mwandishi Hajulikani (Ndaki ya Misitu, Wanyamapori na Utalii - SUA, 2017)
    Kipeperushi kinachoelezea upandaji na utunzaji wa miti ya mitiki
  • Mwandishi Hajulikani (Ndaki ya Misitu, Wanyamapori na Utalii - SUA, 2017)
    Kipeperushi kinachoelezea upandaji, utunzaji na matumizi ya miti ya Mgomalizi au Mdodoma
  • Mwandishi Hajulikani (Wakala w Mbegu za miti - TTSA, 2017)
    Kipeperushi kinachoelezea shughuli mbalimbali zinazohusiana na Wakala wa Mbegu za miti Tanzania.

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account