xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.date.accessioned | 2019-02-14T06:31:06Z | |
dc.date.available | 2019-02-14T06:31:06Z | |
dc.date.issued | 2003 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/handle/123/416 | |
dc.description.abstract | Kunyonyesha ni tendo la kumpa mtoto maziwa kutoka katika titi la mama moja kwa moja au kumnywesha mtoto maziwa ya mama yaliyokamuliwa kwa kutumia kikombe. Maziwa ya mama ni chakula na kinywaji cha kwanza, na cha pekee kwa mtoto tangu azaliwapo mpaka kufikia umri wa miezi sita. Maziwa ya mama ndiyo chakula bora kwa mtoto mchanga kuliko maziwa mengine au chakula kingine chochote. Mtoto afikishapo umri wa miezi sita apewe vyakula vingine laini vya nyongeza huku akiendelea kunyonyeshwa maziwa ya mama hadi kufikia miaka miwili au zaidi. Kwa jamii ya Kitanzania unyonyeshaji wa maziwa ya mama ni kitu cha kawaida. Zaidi ya asilimia 98 ya wanawake huwanyonyesha watoto wao, na wengi wao huendelea kuwanyonyesha hadi kufikia umri wa miaka miwili au zaidi. Pamoja na jitihada za wanawake wengi kunyonyesha watoto wao, zipo kasoro ambazo hujitokeza na kuwafanya wanawake hawa wasiweze kunyonyesha kikamilifu, na hivyo kufanya wengi wao pamoja na watoto wao wasifaidike kikamilifu na faida za unyonyeshaji. Kijitabu hiki kina taarifa muhimu kwa jamii, ambazo zitasaidia mama aweze kunyonyesha kikamilifu. Kimekusudiwa kutumiwa na jamii, ikijumuisha wazazi (baba na mama), walezi, vikundi katika jamii vinavyoshughulikia afya ya mama na mtoto, na yeyote anayependelea kufahamu kuhusu afya, lishe na ulishaji wa watoto wadogo. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Kituo cha Ushauri Nasaha, Lishe na Afya - COUNSENUTH | en_US |
dc.relation.ispartofseries | COUNSENUTH Information Series;No. 5 | |
dc.subject | Lishe | en_US |
dc.subject | Maziwa ya mama | en_US |
dc.subject | Watoto | en_US |
dc.title | Unyonyeshaji bora wa maziwa ya mama | en_US |
dc.type | Article | en_US |