Kwa ufupi:
Asilimia kubwa ya dawa zitumikazo kwa kinga na tiba ya maradhi mbalimbalizilijulikana na kugunduliwa kutokana na vyanzo vya awali vya mimea. kutokana na maendeleo ya sayansi na tekinolojia, chenye uwezo wa kutibuna kuzuia maradhi huboreshwa. Uboreshaji huo ni pamoja na kuanzakuzitengeneza kimaabara na viwandani dawa hizo na kuacha kutegemea chanzo chake cha awali.