Kwa ufupi:
Utunzaji na uhifadhi wa samaki
huhusisha vitendo vyote
vinavyofanyika kulinda ubora
wake, kuanzia samaki
anapovuliwa mpaka anapofika
kwa mlaji. Hii inasaidia
kupunguza upotevu wa viini lishe
na upatikanaji wa bei nzuri kwa
mvuvi na mfanyabiashara