Ghala la Mkulima

kilimo cha maharage ya njano

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author alex, maige
dc.date.accessioned 2023-08-25T05:45:10Z
dc.date.available 2023-08-25T05:45:10Z
dc.date.issued 2017
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/698
dc.description.abstract Kilimo cha maharage ni rahisi na kinalipa sana kikifanyika kwa utaalamu. Gharama nafuu na competion ya soko ni almost zero. Huhitaji kusafiri, kinachofanyika ni kuwaita wateja waje shamba watuniashane misuli mbele yako bila dalali kisha ww ndo una decide whom to trade with! Ekari moja ya maharage ya njano unaweza pata gunia 20 - 30. na gunia moja kwa sasa ni shs 270,000. Shamba la maharage kama unalima kwa kumwagilia unaweza lima mara tatu kwa mwaka . Hii ina maana ukilima ekari moja tu utakua na uhakika wa kipato cha Milioni 5.5 kila baada ya miezi minne, na kama ukilima ekari kumi basi wewe kila miezi minne utakua unaingiza milioni 55. Hata uwe mlevi vipi huwezi maliza hizo helaa na ni lazima baada ya mwaka mmoja tu mabenki yataanza kukuheshimu na status yako itabadilika for good. en_US
dc.description.sponsorship sua en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher chuo kikuu cha kilimo cha sokoine en_US
dc.subject kilimo en_US
dc.subject maharage ya njano en_US
dc.title kilimo cha maharage ya njano en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu