Chakula na Lishe: Recent submissions

  • Nkuba, D. E. M; Bundala, N. H (2016)
    Utapiamlo ni miongoni mwa matatizo makubwa ya kiafya ambayo yanaathiri watoto chini ya miaka mitano, wajawazito na wanaonyonyesha, kutokana na mahitaji yao kilishe kuwa makubwa. Licha ya jitihada zinazoendelea kufanywa na ...
  • Mwandishi Hajulikani (Rural Livelihood Development Company - RLDC, 2008)
    Shirika la Rural Livelihood Development Company (RLDC ni Hii ni taasisi isiyo ya kibiashara iliyoanzishwa mwaka 2005 na mashirika ya Intercooperation na Swisscontact, lengo kuu likiwa kutekeleza Programu ya kuendeleza ...
  • Mwandishi Hajulikani (Food Plants International - FPI, 2016)
    This guide is based on information from the Food Plants International (FPI) database developed by Tasmanian agricultural scientist Bruce French. The source material and guidance for the preparation of the book has been ...
  • Mwandishi Hajulikani (AVRDC – The World Vegetable Center Regional Center for Africa, 2016)
    Kipeperushi kinachoelezea mapishi ya mboga mbalimbali za asili kwa ufupi.
  • Mwandishi Hajulikani (Kenya Agricultural Research Institute - KARI, 2008)
    Mboga za kiasili ni muhimu kwa chakula na zina virutubishi zaidi ya zile za kigeni kama vile sukuma wiki na kabeji. Mifano yake ni kama vile sageti, mnavu, mchicha na mkunde. Mimea hii huwa na madini na vitamini A ...
  • Mwandishi Hajulikani (Bioversity International, 2011)
    Kitabu kinazungumzia mbogamboga za watu wa pwani ukanda wa Mombasa nchini Kenya na ikiwa ni kielelezo cha mboga zote za Kimijikenda. Mijikenda maana yake ni makabila tisa yanayosikilizana kwa lugha. Makabila hayo tisa ya ...
  • Mwandishi Hajulikani (FAO, 2013)
    Samaki ni aina moja ya chakula chenye manufaa zaidi ulimwenguni, huwa na manufaa ya kuotesha mwili kwa afya njema. Makusudi ya hiki kitabu ni kufahamisha manufaa na uzuri yanayoletwa na ulaji wa samaki. Cha nuia upishi ...

  • Mwandishi Hajulikani (2013)
    Samaki ni aina moja ya chakula chenye manufaa zaidi ulimwenguni, huwa na manufaa ya kuotesha mwili kwa afya njema. Makusudi ya hiki kitabu ni kufahamisha manufaa na uzuri yanayoletwa na ulaji wa samaki. Cha nuia upishi ...
  • Mgongo, F. O. K; Mbasa, G. K; Kashoma, I; Luziga, C (PANTIL - SUA, 2009)
    Josho la kuogeshea mifugo hususani ng'ombe ni njia rahisi na va ufanisi mkubwa va matumizi va dawa za kuua kupe. Hata hivyo, njia hii isipotumika vizuri, ufanisi wake hupungua au haupatikani kabisa. Hivvo ni muhimu josho ...
  • Mwandishi Hajulikani (Quality Assurance Project - University Research Co., LLC, 2017)
    Kipeperushi kinachoelezea utaarishaji wa chakula kwa watoto wanaoanza kula kuanzia miezi sita
  • A (AFRI - Youth Development Services, 2017)
    Maelezo ya matumizi ya asali na mdalasini katika kutibu maradhi mbalimbali ya binaadamu kama tiba mbadala.

Tafuta kwenye mkulima

Peruzi

My Account