Ghala la Mkulima

Killimo cha viazi vitamu

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author chuo kikuu cha kilimo cha sokoine
dc.date.accessioned 2023-08-25T08:48:27Z
dc.date.available 2023-08-25T08:48:27Z
dc.date.issued 2023-03-14
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/705
dc.description.abstract Viazi vitamu ni zao mojawapo muhimu la chakula na lishe bora nchini Tanzania. Viazi vitamu vina wanga mwingi hivyo ni njia rahisi ya kuupatia mwili nguvu. Majani ya viazi vitamu yanatumika kama mboga na kuupatia mwili vitamini na madini. Pia viazi vitamu ni chanzo cha kipato. Hata hivyo, wastani wa uzalishaji shambani ni mdogo kiasi cha 5.6t/ha ukilinganisha na uzalishaji unaoweza kufikiwa wa 20–40t/ha. Soko la viazi vitamu sio maalum, kuna wauzaji wadogo na wakubwa. Aina za Viazi Vitamu Asilimia kubwa ya viazi vitamu vinavyolimwa nchini ni vyeupe, maziwa au zambarau, pia za kuna viazi vya rangi ya karoti ambavyo vina virutubisho vyenye vitamin A kwa wingi. Aina viazi zilizoboreshwa ni Simama, Ukerewe, Sinia, Jitihada, Vumilia, Mvuno, Mataya, Polyster na NASPOT-1. Aina hizi zina uwezo wa kutoa kati ya tani 10 mpaka 30 kwa hektari hukomaa kati ya miezi minne hadi mitano na zina unga mwingi. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher chuo kikuu cha kilimo cha sokoine en_US
dc.subject kilimo en_US
dc.subject viazi vitamu en_US
dc.subject mseto en_US
dc.title Killimo cha viazi vitamu en_US
dc.title.alternative Kilimo mseto en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu