Ghala la Mkulima

Zao la ndizi na faida zake

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Shirika la chakula Duniani
dc.date.accessioned 2024-02-23T07:57:57Z
dc.date.available 2024-02-23T07:57:57Z
dc.date.issued 2023-07-09
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/814
dc.description Jarida en_US
dc.description.abstract Ndizi ni mojawapo ya tunda linalopendwa zaidi duniani, likiwa limesheheni vitamini na madini.Ziko faida kadhaa za kiafya za ndizi ambazo ni muhimu kwa mlaji kula tunda hili. Faida hizi ni pamoja na Inasawazisha maji ya mwili "homoni": ndizi ina kiasi kikubwa cha potasiamu na vitamini B6 vitu vinavyokuza uzalishaji wa kiasi cha maji kinachohitajika. Kulingana na wataalamu wa masuala ya lishe, ndizi zina madini ya potassium kwa wingi, ambayo mwili wa binadamu unahitaji, kwa mujibu wa Catherine Collins, kutoka hospitali ya St George mjini London. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Shirika la chakula duniani en_US
dc.subject Kilimo en_US
dc.subject Zao en_US
dc.subject Ndizi en_US
dc.subject Zao la Ndizi en_US
dc.title Zao la ndizi na faida zake en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu