Ghala la Mkulima

Kilimo bora cha zao la karanga

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Uhifadhi wa mazingira na kilimo
dc.date.accessioned 2024-02-23T08:04:48Z
dc.date.available 2024-02-23T08:04:48Z
dc.date.issued 2021-04-02
dc.identifier.citation https://www.kilimo-bora-cha-karanga. en_US
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/815
dc.description.abstract Karanga ni mojawapo ya mazao yanayotoa mafuta. Katika Tanzania zao hili hustawi zaidi katika mikoa ya Kusini Mashariki, Dodoma na Morogoro. Pamoja na kutoa mafuta vile vile zao hutumika kwa njia nyingine mbali mbali, nazo ni pamoja na:Chakula cha wanyama (Mashudu na majani)Kurutubisha ardhi Chakula cha binadamu (Confectionary)Kwa ujumla zao hili hutumika na wakulima kama zao la biashara.Karanga hustawi vizuri katika maeneo yaliyopo kwenye miinuko chini ya mita 1500, toka usawa wa bahari katika Tanzania, na hustawi zaidi katika maeneo ambayo yanapata mvua za wastani wa mm 750 hadi mm 1200 kwa mwaka.Vile vile karanga hustawi vizuri kwenye udongo wa kichanga, inashauriwa kutopanda karanga kwenye udongo mzito (mfinyanzi) hii ni kutokana na sababu kwamba, karanga hazistawi kwenye sehemu zinazo simama maji, na udongo mzito huleta hasara wakati wa uvunaji. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Sokoine university of agriculture en_US
dc.subject Karanga en_US
dc.subject Kilimo en_US
dc.title Kilimo bora cha zao la karanga en_US
dc.type Learning Object en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu