xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | Mbinga, Christopha | |
dc.date.accessioned | 2021-05-05T08:23:46Z | |
dc.date.available | 2021-05-05T08:23:46Z | |
dc.date.issued | 2018-02-13 | |
dc.identifier.citation | http://christophambinda.blogspot.com/2018/02/kilimo-cha-mchaichai.html | en_US |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/540 | |
dc.description.abstract | Mchai chai ni mmea ambao unatambulika hapa nchini pamoja na Afrika kwa ujumla wake, lakini hapa nchini wengi huutambua mmea huu kama kiungo katika chai na husaidia kinywaji hicho kuwa na harufu nzuri. http://ift.tt/2BSxPKw Tafiti kadhaa zinaonesha kuwa mchaichai una vichocheo muhimu vinavyoweza kupamban ana athari kadha wa kadha tumboni, kwenye mkojo na hata kwenye vidonda. Wengine huamini kuwa mchaichai huamini kuwa mchaichai unaweza kutibu baadhi ya maradhi kama vile homa ya matumbo, matatizo ya ngozi, madhara yanayotokana na ulaji wa chakula chenye uchafu na pia hutibu maradhi ya kichwa na hata misuli. http://ift.tt/2BSxPKw | en_US |
dc.description.sponsorship | Kangeta kilimo | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | http://christophambinda.blogspot.com/2018/02/kilimo-cha-mchaichai.html | en_US |
dc.subject | Kilimo cha Mchaichai | en_US |
dc.subject | mchaichai | en_US |
dc.title | kilimo cha mchaichai | en_US |
dc.type | Article | en_US |